Kwa hapa karume kwa hiyo 20k yako unaweza pata hata pea kumi za aina hiyo tatizo kubwa lipo kwenye uchaguaji kadr unavyopunguza vigezo ktk chaguz ndivyo unavyojiongezea wigo wa kupata vingi zaid
Km ukizikuta chagua zilizokuwa vzr zisizo na kiswere zenye rangi nzur ukifika nazo karume utapata 15k ktk kila kiat na mim nitakua mmoja kati ya wadau wako na nitakuunganisha na wadau wengine wengi tu