Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Kabsaaa yaan coz from no where mtu aseme jna langu limemuarbia moody.
Inashangaza sana au mnajuana? maana jamaa ameongea kitu cha ajabu sana
Kabsaaa yaan coz from no where mtu aseme jna langu limemuarbia moody.
Vipo vya watoto?
acha ubaguzi wa udini na jinsia .we siyo mnunuzi
umejuaje kama alimaanisha dini na jinsia na si vinginevyo.. Au wewe ndio mdini na mjinsia ?