Vi dume viweli

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Kazini aliajiriwa mrembo mpya.jamaa wawili wakawa wanashindana ni nani
atampata mrembo kwanza.
Baada ya siku chache mmoja akasema amesha mpata.
siku mbili baadaye jamaa wa pili akasema na yeye akasema amepata.
Jamaa wa kwanza akasema unamwonaje mrembo?
Jamaa akajibu,si lolote kama mke wako.
Ha ha haaaaa.
 
nakata m2 kidevu
mkuu ulivyo sema mpya inamaana alikuwa kwy nylon au seal?
 
Back
Top Bottom