FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,928
- 47,019
High noise levels can contribute to cardiovascular effects in humans, a rise in blood pressure, and an increase in stress and vasoconstriction, and an increased incidence of coronary artery disease. In animals, noise can increase the risk of death by altering predator or prey detection and avoidance, interfere with reproduction and navigation, and contribute to permanent hearing loss
Huwa wanafunga zile engine za kichina ambazo ndizo hutumika kusaga unga, ku-pump maji, kuchimba visima, hutumika pia kwenye site dumpers za ujenzi, kupandisha zege kwenye maghorofa, kwenye mixer za zege N.k..halafu havieleweki ni machine ya kusaga au ni chain saw.... usiombe ukute vinapanda mlima huo moshi utafikiri gari la miaka mia kumbe number inaanzia D
Hivi vigari vipya vya kichina vinavyotumiwa na bilionea Mo vinakelele kiasi kama una-presha unaweza ukapata stroke! hivi hakuna namna ya kuvifungia silencer kwenye exhaust pipe?! vyombo husika mlitizame hili. Pia nimpongeze kwa huu mpango kabambe wa kubana matumizi na ku-maximize profit, hongera!
Hivi vigari vipya vya kichina vinavyotumiwa na bilionea Mo vinakelele kiasi kama una-presha unaweza ukapata stroke! hivi hakuna namna ya kuvifungia silencer kwenye exhaust pipe?! vyombo husika mlitizame hili. Pia nimpongeze kwa huu mpango kabambe wa kubana matumizi na ku-maximize profit, hongera!
Huku Dar Mo amevijaza kweli kweli.., ni shida!Viko wapi mkuu?
Dah vijana wa Dar bana... Nway labda effect za kukimbia panya road..
Viko wapi mkuu?
Dah vijana wa Dar bana... Nway labda effect za kukimbia panya road..
Halafu hii kampuni ya Mo kwa kutumia na kuzalisha vitu vibovu na vya ajabu ajabu inaongoza
Nasikia anahisa 10%, hivi hii ni kweli..?;Yaani mimi nikiona nembo ya METL situmii hiyo bidhaa, huu ni ushauri nilipewa na wafanyakazi wa METL tukiwa baa fulani. Hata wafanyakazi wa METL huwa hawatumii hizo bidhaa, kuna siri kubwa. Ila kwa kweli kateka soko la watanzania wengi kwa umasikini wao, ni bei rahasi, kwa mfano maji lita moja na nusu ni mia sita tu wakati ya kilimanjaro ni buku jero.
halafu hii kampuni ya mo kwa kutumia na kuzalisha vitu vibovu na vya ajabu ajabu inaongoza
Yaani mimi nikiona nembo ya METL situmii hiyo bidhaa, huu ni ushauri nilipewa na wafanyakazi wa METL tukiwa baa fulani. Hata wafanyakazi wa METL huwa hawatumii hizo bidhaa, kuna siri kubwa. Ila kwa kweli kateka soko la watanzania wengi kwa umasikini wao, ni bei rahasi, kwa mfano maji lita moja na nusu ni mia sita tu wakati ya kilimanjaro ni buku jero.