vhome s60v3 signed, ikiwa na themes za htc wildfire | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vhome s60v3 signed, ikiwa na themes za htc wildfire

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Apr 11, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,046
  Trophy Points: 280
  guys maybe wengi hamfahamu kuhusu hii application, inaitwa vhome hii ni app inayomuwezesha mtumiaji wa nokia s60 kuchange home screen iwe kama simu nyengine za android au iphone zipo pack nyingi zenye aina mbali mbali za screen ila nimebahatika kupata hii hapa ipo signed

  [​IMG]


  Link ya kudownload

  vHome HTC real theme s60v3 signed
   
 2. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  nimeipenda nikijaribu kudownload inakataa natumia nokia e71
   
Loading...