Kasomeni vijana yoyote mwenye anaweza kusoma MD basi hata BVM haitamsumbua kimsingi soma ukipendacho.
Kuna utamu zaidi ya MD na BVM,kuna Pharmacy,kuna Dental Surgery,Medical Lab. Science etc etc ni tamu kwa kujiajiri fursa kibao esp mikoani
Tusome tu better days are coming