Kahise Junior
Member
- Aug 6, 2016
- 23
- 27
Bvm ngumu kuliko MD,,, know una deal na Organism wangapi MD binadamu tu mzee unanipata... Ni mfano wewe wa MD tukuongezee Na Apes, kuku, ng'ombe, mbwa, paka usome utaweza kama tu binadamu unaona mgumu.... BVM pia tunasoma Binadamu kama referenceMD haioni ndani kwenyee BVM hiyo kozi kama hujaaga kwenu pale SUA usiguse maana semister ya pili unaweza ondoka wanaanza 70 kumaliza wakiwa 9 au kumi na ni kawaida!
MD hata sio ngumu kama hiyo kozi ni miaka 5 unasoma binadamu as mnyama na vingine vingiii