Veterinary medicine

Veterinary medicine

Kinacho ni boa n kusoma veterinary miaka mi 5 sa iyo miaka c ni bora nsome MD
BVM na MD ni disciplines mbili tofauti. Unachagua mwenyewe nini unataka kusoma kulingana na career ambitions zako. Suala la miaka kulingana halina nafasi. Maana shahada nyingi nchi hii ni miaka mitatu mitatu, so how do people choose one or the other?
 
Level ya difficulty huenda zikawa sawa. Masomo karibu ni yale yale ni application MD ni tiba ya binadamu na BVM inalenga zaidi wanyama, lakini kuna somo kama Public Health ambalo linafundisha kutumia elimu ya veterinary kuboresha afya ya jamii hususani magonjwa kama Rift Valley Fever (Homa ya Bonde la Ufa). Strategy hapa ni kuzuia magonjwa yasitoke kwenye wanyama kwenda kwa binadamu. Kwenye kufundisha na utafiti upande wa binadamu utakuta madakitari wa veterinary wanafanya kazi huko (angalia Muhas, CAHUS na St Francis na NIMRI). Tofauti nyingine ni kuwa wanyama hawaongei lakini kwa ujumla bina-adamu huongea-hii huleta changamoto zaidi. Lakini kwa ufupi kasome ile unayopenda kwa sababu zako.
 
Asanteeee
 
Kwan MD ni muda gan???
Afu MD hawezi kuwa datari wa mifugo ?but BVM anaweza kuwa dactari wa binadamu
BVM hawezi kuwa dakitari wa binadamu and vice versa. Hairuhusiwi unless urudi tena shule usomee hiyo fani nyingine. Wanaingiliana kwenye specialised non-clinical subjects such as histology, parasitology etc ambapo unaweza ndani ya miaka 2 ukapata masters in a vet school or medical school au phd level.
 
Karibu SUA,lakini uwe makini maana mziki wake unaweza kimbia semester ya pili tu.
 
Nimeota nasoma BVM, aaah ngoja usiku mwingine ufike niote kama nitamaliza semista zote kumi au nitaishia popote pale
 
Nimeota nasoma BVM, aaah ngoja usiku mwingine ufike niote kama nitamaliza semista zote kumi au nitaishia popote pale
Kwa hiyo avator yako (skeleton), nahisi wewe uko ndani ya hiyo kitu. Utamaliza tu work hard.
 
Asanteee kwa vitisho vyenu mmsai haogopi kitu
 
First year wa mwaka huu wote wamepita msiogope,zamani ndo ilikuwa ngumu
 
Kwa hiyo avator yako (skeleton), nahisi wewe uko ndani ya hiyo kitu. Utamaliza tu work hard.

Nina diploma ya hiyo kitu na nimeomba BVM, am waiting. Ila nashukuru in advance kwa kunipa moyo.
 
Una GPA yangapi labda?mana huwa Ina competition sana na OLEVEL ulipata division ngapi?
 
Veterinary medicine ni kozi nzuri sana inatolewa Sua tuuh Tanzania nzima Hii kozi kwa ugumu wa shule huwezi linganisha na MD kiukweli japo wote ni madaktari mimi nakusihi usome kitu ambacho unahitaji na ni kiko marketable ila BVM sio mchezo ukisoma Bwana Mdogo
 
Veterinary Medicine ni ngumu kuliko MD, In MD utasoma Binadamu tu... But Vet unasoma Different species za animals.. Utasoma small animals, large animals, pia wild animals (selected species) utasoma anatomy ya mmoja mmoja, kama unavyomsoma binadamu tu utasoma wanyama wote hao, utasoma Magonjwa ya kila mnyama peke yake..... Dealing with MD una deal na only Human Being so u can't compare MD na Vet..... Vet is So demanding than MD.. Hilo ujue... Hafu alosema SUA Fanta Aangalie Inashika position ya ngapi World Rank,,,, 3036 in my memory mwaka huu wa 2016,,, inafuata baada ya Udsm.... Ni chuo cha pili kwa vyuo vyote vya Bongo...... Vet is complicated than MD.... Mimi pia nimeapply Vet Medicine... So Guys Don't underestimate Veterinary Medicine.... U know nothing about it... Angalia watu wanao disco MD na Vet.... Iyo ni simple overview unaweza ukaona Course Ngumu ni ipi..... Au hamia Vet wewe wa MD kama hutohama course au ku Disco nambie
 
Back
Top Bottom