sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Salama wadau? Mwenye kufahamu hii kozi changamoto zake na ugumu wake kwasababu watu wengi wanatuambia ni ngumu kuliko hata MD??? Nisaidieni
Kweliiiii?????acha swaga MD kiboko yao karibu sua maza fanta
hahaha MD hatari sana??acha swaga MD kiboko yao karibu sua maza fanta
Kilefu cha MD, msaada kwenye tuta apoMD unaijuaaaa unaskiaaa? Njooo uiguseee unate
Medical docter!
Poa shekheMedical docter!
Iliyo hatari sana ni Pharmacy!hahaha MD hatari sana??
Medical docter!