madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
Habari wana Jf naomba kuuliza hivi kuna App ambayo naweza download nikaona mitihani iliyopita ya veta yaani mitihani ya CBA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia play store ukague unaweza pata au nenda veta uliopo kwenye mkoa wako utapata vzrHabari wana Jf naomba kuuliza hivi kuna App ambayo naweza download nikaona mitihani iliyopita ya veta yaani mitihani ya CBA.
Sent using Jamii Forums mobile app