VETA na vyuo vya ufundi

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,654
Prof ndarichako huu ni muda muafaka wa kuboresha vyuo vya ufundi VETA na vile vya maendeleo ya wananchi vinavyo toa fani mbalimbali za ufundi kwa kuwa kuna vijana wengi watashindwa kujiunga na vyuo,pia kuongezeka kwa form four,form six na la saba kwa iyo ni bora tuwa peleke waka pate FANI ZA UFUNDI
 
Back
Top Bottom