Verzuz: Mary J. Blige vs. Toni Braxton (part 4)

Kwa muktadha wa sauti tamu ni kweli Tony yupo vizuri
Lakini kisanii Mary J Blige yupo daraja la juu sana kuliko Tony mkuu
Haimaanishi Tony ni mwanamuziki mbaya hapana
Lakini credibility na influence ya Mary ni kubwa mno kuliko Tony
True man.
 
IMGJ_9771.jpg
 
Back
Top Bottom