Very welcome customers do not need an agent or auctioneer needed a client

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]

Komaa mzee wanakuja

RIP UNCLE BEN
 
Ungetumia Kiswahili tu ingekuwa afadhali [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hivi hiki kingeledha ntajua lini mimi? Kila nikihisi nimejua mnakuja kivingine,
 
Sie wengine bhana tupo very positive!

Binafsi kushindwa kwangu kuelewa wala sikudhani kumetokana na jinsi hiyo lugha ilivyocharangwa, nikaamini tu nimeshindwa kuelewa labda kwavile hayo mambo yenyewe ya mining sijui lolote, na kwahiyo labda jamaa katumia Kidhungu cha ki-mining mining; kilichojaa jargons za ki-mining mining, na ndo maana nimetoka kapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…