Very Interesting

Very Interesting

kuku dume

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
414
Reaction score
62
IMG_20151008_125526.jpg IMG_20151013_090233.jpg
 
MIMI NIMEIPENDA HII
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akimpongeza William Mabula aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Geita mjini kwa tiketi ya Chadema, lakini chama hichi kikamuengua dakika za mwisho
 
wewe sasa huo uchokozi...nani kakutuma kuwafotoa hivyo?? mimi simo...napita
 
MIMI NIMEIPENDA HII
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan akimpongeza William Mabula aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Geita mjini kwa tiketi ya Chadema, lakini chama hichi kikamuengua dakika za mwisho

Kwani Geita anagombea nani sasa???
 
Back
Top Bottom