Mami NN, halafu unaona kilivyo kidogo? Du....
Hiki huko kwetu unajua inabidi kifanywe nini ili kisiharibu damu ya NGOSHA wa ukweli.
Kakipewa kujenga zizi, ndiyo kabisa. Kataleta MASANZU kama fagio la akina mama, hahahaaa....
Hata Mwana Mayu akikahurumia akape, Mwana Mayu akikohoa tu, kanakuwa EJECTED.