Kifuniko Member Joined May 20, 2011 Posts 97 Reaction score 18 Aug 9, 2011 #1 Wazee nimesahau password yangu ya yahoo wakati najaribu kuibadilisha nikajikuta nimesahau secret question moja wapo kati ya mawili, kuna mwenye maujanja mengine nifanyeje
Wazee nimesahau password yangu ya yahoo wakati najaribu kuibadilisha nikajikuta nimesahau secret question moja wapo kati ya mawili, kuna mwenye maujanja mengine nifanyeje
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Aug 9, 2011 #2 kama uliwahi kutumia alternate emai wakati wa ku create account yakol unawezatumia hiyo kurecover your password...otherwise...you are doomed!
kama uliwahi kutumia alternate emai wakati wa ku create account yakol unawezatumia hiyo kurecover your password...otherwise...you are doomed!
HT JF-Expert Member Joined Jul 29, 2011 Posts 1,897 Reaction score 414 Aug 9, 2011 #3 contact yahoo customer service in their help page