Hahahah..!
Uchochezi huu!! Hao unaowataja ndio kina nani?
Tuje tuishie kusoma nyayo.Haha muache tu alete sifa hapa, afu kumbe gari lake ni TZ 11
Hii familia ni zaidi ya telemundo.....Bora umenisaidia kuuliza
nilikua na mkanganyiko
Atleast unamfichia siri mama yako
Hamna siwajui kweli
Honey Faith kwani hao ulowataja ni akina nani? Hata mimi sielewi elewi!!!Hapo ndio huwa naamini ule msemo wa damu nzito......
Uuuuwiiiiiiii ya leo kali yani mtu na mama mkwe wake au mie sijaelewa??
Bae I miss you
nauliza mapema tu huko kwenu
nisije kupark nikakuta
power window na taa za magari zimebebwa!
Mie sio mchochezi bali msema kweli......Uchochezi huu!! Hao unaowataja ndio kina nani?
Mkanganyiko gani? Unatafuta visingizio eeh! Yatakushindilia muda sio mrefu.Bora umenisaidia kuuliza
nilikua na mkanganyiko
Mkwe naona umeanza viroba sio siri, mie tena nimekuwa bae wakoBae I miss you
nauliza mapema tu huko kwenu
nisije kupark nikakuta
power window na taa za magari zimebebwa!
Mkwe everyday am hustlinTuje tuishie kusoma nyayo.
Mama atoto kila sikuHii familia ni zaidi ya telemundo.....
Mie sisemi chochote naogopa wanafamilia wasije nisema nagombanisha familiaMama atoto kila siku
ananiambia ataniachia laana
hapo bado sijaoa
nahisi leo utatoa ile laanaMkanganyiko gani? Unatafuta visingizio eeh! Yatakushindilia muda sio mrefu.
Who knows labda ulimchombeza huko vipembeni maana si kwa kuitwa hivyo.Mkwe naona umeanza viroba sio siri, mie tena nimekuwa bae wako
I don't lose peopleNaanza kutambua sasa kwanini posa imechelewa, huyu mkwe hewa huyu.
Mkwe nimeomba radhiMkwe naona umeanza viroba sio siri, mie tena nimekuwa bae wako
Naanza kutambua sasa kwanini posa imechelewa, huyu mkwe hewa huyu.
Acha tuUuuuwiiiiiiii ya leo kali yani mtu na mama mkwe wake au mie sijaelewa??
usijali familia hii kilaMie sisemi chochote naogopa wanafamilia wasije nisema nagombanisha familia