Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
mtcheew mbona unatakaga tu hela? Haya kesho ntakuletea maua ya kitengeYeye ndio anajua thamani ya hayo maua.
Kwani najipa mimi hayo maua au nampa mwingine?mtcheew mbona unatakaga tu hela? Haya kesho ntakuletea maua ya kitenge
Kwani mnaongelea nini? Mbona hata siwaelewi?
Hahaha muonee huruma bi mkubwa. Alidhani utamuwekea "hainaga ushemeji"
Mmh pole, maumivu ya kichwa huanza taratibu. Ila nyie Honey Faith ni jike la simba, kapiga tu ile "I don't lose people, people lose me", kuku kajirudisha mwenyewe bandani dadeki. Mtoto hababaishwi khaaaKwani mimi nimewafanyaje tena? We lala huko huko bandani.
Haha kesho angewa-frank madent, wangejutraaaa
ha ha ha ha ha ha TAMISEMI hajapita?!!!
Niachie bi mkubwa wangu alale bana. Unayajua maumivu ya kukataliwa? Asije akajinyonga bureUshamuona mwenzio nyuki sio...
ha ha ha ha ha ha TAMISEMI hajapita?!!!
Hahaha ile mikofi sio ya nchi hii
Teh maumivu yakizidi, una-adapt tu uhehe.Hahaha halafu nilisikia ana DNA ya Uhehe kwa mbali.
Kama namuona..
View attachment 418209View attachment 418209
Teh her dreams are still validUsijali atoto rafiki yetu. Siku moja utampata your prince charming. One who will have the other pair that fits you perfectly well!
Ila na wewe una roho ngumu, nimeamua hadi kujivalisha wito wa ualimu ila still ukanikata mchana kweupe. Ila kwa sababu umemnyakua gelofriend wangu, mwalimu wa walimu, basi freshHebu niache niandae shairi langu kwa kipenzi changu Evelyn Salt!!!