Verossa

Hebu Heaven Sent uje unisaidie jambo hapa:

Hawa wawili ni North and South sasa sijajua wana kipi common kati yako

kuna huyu:


Halafu na huyu:




Hahahahahahahahahahahaha salute to you bro RRONDO!!!! Hebu tulale kesho kuna mechi kubwa sana aisee!!!
 
Hahahaha mwishowe jamaa atabaki singo halafu mje mniite mchochezi. Hebu malizeni hili suala kiutu uzima. Kwani RRONDO huwezi kumudu wawili???
Whaaaaaaat????? Kumbe umenichoka kiasi hicho!!
 
Haha kupatwa kwa "heels"

Huyo wa 2 kama innocent vile, kumbe ana u-alshabib wa hela ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…