Mentor hivi umemalizana vipi na mkeo manake siwaelewi nyie.......
nikalimanie plzzzz
sipandi verosa
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaushapanda wewe....
ushapanda wewe....
Utawajua tu wahusika..muuza utumbo!!!!!
ladyfurahia umeona hapa........?!?!? Mentor is free!!! na si ulimuacha mwenyewe tena kwa sredi!?!?! pliz acha kumzuzua mdogo wangu basi!!! kama ulipanda verossa wakati yeye ana vits ,na uwezo wake ni vits tafadhali tafuta wenye verossa!!!!! umuwache apumuwe na wanaomudu vits! hahahaaAlinimaliza sidhani kama i had any role to play! usinihusishe... Mentor is a free molecule... Cc: Evelyn Salt
Oh noo...but from what angle should I warn them? the driver or the sleeper!???
sitaweza kumuacha kwanini yeye ni usingizi na godoro langu kila mara nihitajipo ananipooza roho yangu, sina shida verocca wala vits nina amu na yeye tu hivyo vitu ni vya kupita bestito havininyimi raha yangu ya kuwa na Mentor,
cjapanda na sipandi
mercedes benz au bmw unapanda???
hazina madhara kama verosa?
mmh sijui coz sina hata baiskeli.....sasa wewe unapanda ipi??
umenichekeshaje best? yeye mwenyewe Mentor analitambua hilo na ni yeye aliyeanzisha ligi mm ni mmaliziaji wa kufunga sasa sina makosa kumwambia ni my luv, baby na honey kwani moyoni amejaa tele ingawaje ananifanyia vimakosa vya hapa na pale bado hatobanduka kwenye moyo wangu, nitaendelea kumvumilia hadi mwisho wa dahali, naomba elewa hilo bestito
Mentor unasema umemuona...?
Inside a Verossa he slowly took off her top and
As it came off her head, off also went all warnings from her mama,
Hahahah, kwamba as kitop kilichokuwa kinatoka ndivyo mausia ya mama yote yalivyotoka nayo.
sipandi verosa
mi nalia na madereva wa STJ, STK, STL, DFP, PT, MT
both angles have lessons of life.......!
Ila bro nilishuhudia best yangu ameshushuliwa mbaya na msupuu, siku ya siku akamuona best alikuwa kwenye usafiri wa nguvu, nadhani msupuu alishindwa kujua kam aile ni gari ya japan au jeremani, akachanganyikiwaje! wacha aanze kujishaua maraa ooh bofrend yupo nje, mara sipo naye vizuri, am singo, mara its complicated!!! jamaa akampeleka kwao........maskini weee dada wa watu akaanza kujionyesha kwamba yupo tayari kugegedwa! yani hadi aibu wadada!!!
hazina madhara kama verosa?
Because of chips others lost the same.