Mentor hii ni karibia mara ya 20 plus nasoma hili shairi na kila nikilisoma nahisi machozi yananitoka na ninaumia moyo sana, jus for no reason!!! Kila aya na kila herufi imebeba ujumbe mzito, natamani sana kila mwana JF angelisoma taratibu na kulielewa hili shairi. Kwangu mimi ndio Thread ya Mwaka.......thank you Mentor
Ahahahahaha hiyo nayo point mkuu!
Heaven on earth njoo ujibu hapa.
Morning dada cacico,
babu mumeo Asprin na shem Kaizer wananikimbizia ndege wangu mwallu.
In other news unawaona wachokozi wanafufua maiti zilizokwisha kulala??? christine ibrahim NA Heaven on earth!????
verossa ilikua baab kubwa asee
maana mmh
Elli keshanijibia banaAhahahahaha hiyo nayo point mkuu!
Heaven on earth njoo ujibu hapa.
hahaaaaaaa nakumbuka enzi zako za kupanda basi lol
hahaaaaaaa nakumbuka enzi zako za kupanda basi lol
we acha tu yani,af izo enzi hata hazijaisha ujue
Heaven on earth....kwa jinsi tulivyotoka mbali na tunavyojamiiana, siwezi kuacha kuja wallah......nikimaliza kwa Kongosho, nakuja chaaaaap chap sana
nikajua hujapita huku. naamin Lady doctor hajapita. mia
mmh unanitafutia ugomvi na Heaven on earth,kulostt virginity na versosa Heaven on earth anahusikaje???,anyway she is a big dada anaexperience kuna mawili matau anaweza kuwa ameyapata au kasimuliwa na shostito wakeAhahahahaha hiyo nayo point mkuu!
Heaven on earth njoo ujibu hapa.
Lianzishe na Kaizer mi ntakusapoti..huyu jamaa hata verossa hana ila anavyosumbua wake za watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!