There we lost an MD, a sister and a fine Mrs. Me.
Unamsema mtu?!
Duh! mpaka naogopa. But not only a Verossa there is also a "CELLICA" where we will lost of our fellow JF Female Members... soo Sad!
acha kujihisi kama unaoga nje afu uko kwa baba mkwe...! we verossa umepanda lini mumeo mwenyewe nna ka-vitz tu! Anza kujieleza...acha nisepe hapanihusu hp nahiisi nasemwa kiaina
Heri huyu verossa...wengi wa siku hizi ni Vitz na Duet mangi!!!
Heri huyu verossa...wengi wa siku hizi ni Vitz na Duet mangi!!!
nijieleze mara ngapi baby, kuhusu jambo hilo hutaki tu kuninunulia
Hapana dokta why would you think so? Ama dokta una Verossa?? haha..
Hivyoeee...umetaja Cellica nkamkumbuka KakaKiiza ....<no comment here>
Cc: Paloma, Asprin, Kipaji Halisi, amu Nivea, Mtambuzi....
acha kujihisi kama unaoga nje afu uko kwa baba mkwe...! we verossa umepanda lini mumeo mwenyewe nna ka-vitz tu! Anza kujieleza...
umenichekeshaje best? yeye mwenyewe Mentor analitambua hilo na ni yeye aliyeanzisha ligi mm ni mmaliziaji wa kufunga sasa sina makosa kumwambia ni my luv, baby na honey kwani moyoni amejaa tele ingawaje ananifanyia vimakosa vya hapa na pale bado hatobanduka kwenye moyo wangu, nitaendelea kumvumilia hadi mwisho wa dahali, naomba elewa hilo bestito
Mentor never writes topics from the air...Hapa naanza kushawawishika kuwa ni kweli kwa baadhi ya wadada, hawafurukuti mbele ya magari, wanajiachia na kujitumbukiza kwenye hatari kiulaini! shame on them!
mie nina vitz. Mentor
Hata mie siyapendi kabisa haya " maverosa".. kwanza yanakunywa mafuta sana
ooooh Mentor what a good poem for our youngsters!!!
but......you would also want to warn others of what might happen inside a Honda at a parking lot?!?!?
To painfull to bear jaman