Man Kasuka
Member
- Apr 25, 2014
- 61
- 1
Kazi yetu magali kununua na kuuza ivo njoo na uone gali umeuza
bado niendelee kupunguza jamani. Hapana
Acha roho mbaya we jamaa yaaani utafikiri nauza stalet duh
Nina wacwac na hy bei, Verossa for 7.5m!??
iyo gari ningekuwa na ela ya ziada ningeichukua maana sio ghali, pia nilivomsoma mleta uzi atakuwa amepata shida ya ela au kuna kitu zaidi anataka kufanya ndo kaamua kuuza ivo , nasema ivo kwa kuwa verossa bei yake sio iyo na kama exemption inaisha mwezi wa 10, haujiulizi kwa nini muuzaji asisubiri mwezi wa 10 exemption iishe then auze kwa mil 8 au 9?? mwenye ela confirm TRA iyo exemption then kabebe mzigo huo!!
mjomba nilinunua gari ambayo ilikua na exemption na ina miaka miine. ina maana sitolipa kodi.
the car was bought in 2009 and they sold me 2014.