VEROSA mpya inauzwa

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Toyota verossa, mwaka 2001, purple, km be 100,000 , cc 2000 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashar ni maelewano pics chin hapo
 

Attachments

  • 1412957404677.jpg
    118 KB · Views: 929
  • 1412957423422.jpg
    117.4 KB · Views: 784
  • 1412957440892.jpg
    103.3 KB · Views: 756
  • 1412957462609.jpg
    119.7 KB · Views: 1,015
  • 1412957482830.jpg
    104.9 KB · Views: 762
Maelewano hua yanaanzia kiasi fulani... hebu anzisha.....
 
Toyota verossa, mwaka 2001, purple, km be 100,000 , cc 2000 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashar ni maelewano pics chin hapo
Maelewano hua yanaanzia kiasi fulani... hebu anzisha.....
kwa hesabu za chap chap nadhani atakuwa anauza bei kuanzia 10mil hapo akiwa ameweka kafaida chake kidogo. Ukiagiza toka Japan (Beforward) inakuwa hivi.
CIF (DAR) = $2380 ~ 4,130,000/=Tsh. (1$/1700Tsh) + TT Cost
TRA Duty ~ 4,800,000/=
Shipping Line, Port Charge, Clearance Fee, Motor Vehicle, Plate Number,etc ~ 1,200,000/=
~ Total = 9,930,000/=Tsh



 

Mnandi hizi hesabu wengine huwa zinatuchanganya sana za kuagiza gari.Ngoja nitaingia kwenye mtandao nikuta Gari nitakupa unisaidie kuweka hesabu yake mpaka naitoa hapa.
Kama huto jali na pia wadau wengine
 
huo ndo ukweli waungwana TRA wange kuwa na huruma japo kidogo basi kila mwalimu anagemiliki noha nchi hii,
 
Ni jambo linalonishangaza sana gharama ya gari pamoja na usafirishaji hadi bandarini (dar) ni ndogo ukilinganisha na TRA duty....... ni kwa nini TRA duty iwe kubwa kiasi hicho kwa nchi maskini kama TZ yenye wananchi maskini.? halafu wala nchi wanaingiza magari yao bila TRA duty... hii ni haki?
 
Nimeagza nissan caravan ya mwaka 1996 toka japan dola 5500 tra hapa watataka pesa ngap mpk kuitoa
 
Mdau ulyepigia mahesabu hy verosa naomba unisaidie hapo kwenye nisan caravan
 
Nimeagza nissan caravan ya mwaka 1996 toka japan dola 5500 tra hapa watataka pesa ngap mpk kuitoa
mwenye thread atusamehe bure tu kwa kujadili gari zingine ndani ya thread yake..

sasa mkuu kuna 1996 Nissan Caravan Coach na 1996 Nissan Caravan Van, yako ni ipi kwasababu ushuru unatofautiana?





Anyways, Ushuru wa 1996 Nissan Caravan Coach ni hivi..



Ushuru wa 1996 Nissan Caravan Van ni hivi..



1. TRA Duty ~ 6,150,000/= (Caravan Coach)
....TRA Duty ~ 5,580,000/= (Caravan Van)
2. Shipping Line, Port Charge, Clearance Fee, Motor Vehicle, Plate Number,etc ~ (1,200,000/=) --> hii ni makadirio ya bei ya kuitoa bandarini na vitu vingine..
3. Jumlisha bei ya gari toka Japan + Ushuru + Costs zingine hizo utajua ujipange kwa kiasi gani..

Cc: Lady Ra luganno maguzukauzu
 
NGOJA NIMWITE BESTITO Mentor AJE KUKAGUA VIZURI KM NI JPYA AU USED
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…