Wana CC, mko poa?
Heshima kwenu...
Kuna mambo yanaendelea hapa sijaelewa elewa ati.. Ukianzia na haya ya Eda ya
Mamndenyi, source hapa ni
Arushaone!
Afu kuna ishu ya
Mr. Rocky na Dena
nikaona tena na
Bishanga kutaka kumwachia
The secretary Vichanga sijui alee na nani...
Mambo ni mengi kweli kweli..
Hebu tufanyeni verification ya couples wa humu ndani ili mambo yaende sawa!
Zitakazokuwa verified ni zile za mmoja mmoja! Wake wadogo wakae pembeni kwanza..
Mwenyekiti
Baba V, naomba uunde kamati huru kwa ajili ya hili..
Ianze na mimi
Kiwatengu and
shansarie >> Verified Couple...
Mtiririko uendelee sasa..