Verification problem kwenye iPhone

Verification problem kwenye iPhone

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,140
Habarini wana jamvi, naomba kujua ni namna gani naweza kutatua tatizo hili la ku fail verification pindi napokuwa niki sign out kwenye iCloud[emoji846]

IMG_6108.JPG
 
Kuna pros na cons kwenye kila kitu. Android kama ilivyo kwa iOS sio kwa ajili ya kila mtu. Kuna mabaya na mazuri ya kila platform, android ina shida zake pia
Ofcoz mkuu,
Lakini Android nahisi inategemea zaidi aina ya simu yenyw
 
Back
Top Bottom