Mdada mmoja wa Kenya maarufu sana kwenye social media, kuna siku nilimwona FNL nadhani ndio jamii ya celebs wetu tuNdio nani uyo?
Mdada mmoja wa Kenya maarufu sana kwenye social media, kuna siku nilimwona FNL nadhani ndio jamii ya celebs wetu tu
Ndio nani?
Yeah mkuuKumbe ni mkenya!!
Mashaallaahh,embu mgeuze nione msambwanda.
Wewe acha umbea mnafiki mkubwa wewe, humu umeitwa? Majukwaa mengine huyaoni? Unachokitafuta utakipata soon nyambafu wewe, ulidhani humu kuna mavuz* ya baba ako? Tena ukome kufuatilia Uzi zangu mbwa wewe sina shida na uchokoraa wakoInafaida gani kwenye maisha yetu, inaongeza madawa hospitalini ? Inaboresha maslahi ya watumishi nchini ?
Kujua au kutokujua hilo inatufaa nini sisi .
Hiyo ndo EA banaa..ashasoma buzi lake lina mawazo gani(ya mtoto) so ili liweze kudata vizur na kutoa mchuz mrefu ndo gia hiyo..Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea kuwa gumzo kwenye social networks.
Kwenye pita pita yangu mtandanoni nimekutana na Snapchat post ya Vera Sidika iliyonifanya niwaze kuwa pengine socialite huyo ameamua kweli kutulia na kuanzisha familia.Kwenye post hiyo, mwanadada huyo aliweka kikatuni cha mdada mwenye ujauzito na kudai maisha ya kuishi peke yake, kivyake vyake sio issue tena kwanza inaboa na pengine umeshafika wakati wa yeye kufanya mipango ya kuwa na watoto.
” Kuishi mwenyewe inaboa kinoma, its lonely. Ingekuwa bora kuwa na watoto wanaokimbizana huku na kule ndani ya nyumba na sio maisha haya…” – aliandika Vera Sidika.
Duh!!!Wewe acha umbea mnafiki mkubwa wewe, humu umeitwa? Majukwaa mengine huyaoni? Unachokitafuta utakipata soon nyambafu wewe, ulidhani humu kuna mavuz* ya baba ako? Tena ukome kufuatilia Uzi zangu mbwa wewe sina shida na uchokoraa wako
Ohooooo!!!Yai litakuwepo kweli,maana full makemikali.
basi Mungu alivo waajabuYai litakuwepo kweli,maana full makemikali.