Vehicle diagnostic services

Vehicle diagnostic services

mussamiraji

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
54
Reaction score
3
AL MADINA COMPUTERS LTD
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO,SCANIA, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
Sasa ukifanya diagnostic na kuondoka nani atengeneze? Hilo ni jembe la fundi.
 
Hiyo computer diagnostic machine inarekebisha hizo faults zinazotokea kwenye zile system za electronic namaanisha sensor na Actuators kitu ambacho huyo fundi hawezi akarekebisha atakuwa anabahatisha mwisho wake atafungua vitu ambavyo havihusiki.
 
Back
Top Bottom