Vedastus Mathayo Manyinyi-mbunge wa Musoma mjini-2015

Mwandika hoja hii hafahamu aoengealo!

Nafahamu sana nia ya Mathayo Vedestus si kugombea Musoma mjini bali ni Jimbo la Serengeti.

KONGOTO, kwa tarifa yako jua kuwa:-
i. Mathayo anafahamu hawezi Kushinda Musoma mjini.
ii. Rafiki yake Mathayo aitwaye Ndg. Deogratius Mwita Ndege aliyegombea Udiwani CCM) katika Kata ya Bweri anasema kuwa Mathayo hana mpango wa kugombea Musoma mjini kwani hawezi kupita hata kama marafiki zake akina Lowasa na Rostam watamfadhili.
iii. Wana CCM; Nimrod Mkono, Mb. Musoma vijijini, Waziri Stephen Wasira, Mb. Bunda na wana CCM wengine pamoja na wimbi la chadema lililokuwapo na lililopo ndio waliomsaidia Mb.wa Musoma mjini Ndg. Vincent Nyerere chadema) kumng'oa Mathayo..
Kundi hili hata sasa halimtaki Mathayo Thadeus Manyinyi kwa sababu anajigamba kuwa yeye ni Tajiri na anakundi imara la Edward Lowasa
iv. Matajiri na wafanya Biashara wa Musoma hawampendi Mathayo kwa tabia yake ya tisha tisha na shusha bei kwani wachinjaji wa Ng'ombe wanasema kuwa Mathayo anashusha bei ya Nyama ilhali anachinja Nyati na Mbogo kutoka Hifadhi za Serengeti; kibaya zaidi ana Chinjio lake binafsi lililopo nyuma ya Sheli yake ya Mafuta pale Marweli
..kwingineko, wauza nafaka wana mlaumu kwa kitendo chake cha kujitafutia kibari cha kupewa nafaka kutoka magala ya Kitaifa ambayo anapaswa kugawia wana nchi bure lakini yeye anauzia wakazi wa Musoma kwa bei nafuu ilhali ni Kinyume cha sheria na vilevile anaharibia biashara hawa wafanyabiashara.
v. Mathayo tangu angushwe ubunge ameandaa Mikutano miwili pale mjini Bus Stop; alizomewa mara ya Kwanza.
..mara ya pili, alienda kujisafisafisha kuhusu kesi ya kuuza nafaka lakini Nguvu ya Umma Kwa ishara ya vidole viwili vya chadema vilisheheni hatimaye watu walimtoroka Mathayo akiwa jukwani.
vi. Kwingineko, Musoma mjini wimbi la chadema linavuma kwa upepo mkali kutoka ziwa Viktoria.
Vii. Mb. Vincent Nyerere anakubarika kwa maendeleo/mabadiriko aliyoleta kule Musoma Mjini; kwingineko, mikutano huwa inapata umati mkubwa mno na hazomewi kama Mathayo.
..la kustaajabisha ni kuwa siku Mb. Joshua Nassary alishinda watu wa Musoma Mjini walisherehekea mno; pikipiki na magari yalikuwa ya bendera za chadema zikipepea.

Kwa haya na mengine mengi Mathayo Thadeus Manyinyi hawezi kufanikiwa kuwa Mbunge Musoma Mjini hata akitumia fedha kiasi gani!

Nawasilisha kwa uhakika.
 
Last edited by a moderator:
Kidemokrasia anaruhusiwa kugombea kila uchaguzi ukiitishwa ninavyojua mimi hawezi kumshinda Vicenti KIBOKO Nyerere atagombea kama wengine wanavyogombea na wakashindwa. Nina uhakika yeye mwenyewe anajua kua hawezi kushinda.
 
:shock:Si jimbo la Musoma mjini tu Mathayo kwa ujenzi wake wa hoja na siasa za Tanzania sasa hana uwezo wa kushinda na ajue kwamba Mjengoni imekuwa historia atafute picha alizopigwa na waandishi wa Habari akiwa Bungeni atunze kama kumbukumbu.
Kuna mkutano mmoja aliufanya mwezi wa tatu akiwa na Gachuma pamoja na Nyambari Nyangwine aliponda jembe (Vincent Nyerere) watu walianzisha fujo hadi wakabadili hoja.
 
Ameamua kujikita kwenye biashar yake ya mafuta na kampuni yake ya Hass. Siamini kama anazitaka tena siasa.

Mkono alimfanya kitu mbaya.
 
Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja

Anarudi kwa nguvu ya hatari? Unamaana gani? Ameishaandaa mafungu ya kuhonga? Ahsante kwa taarifa, tutamfuatilia.
 
Jamaa yuko safi sana na kama ni makosa kayafanya atakua amejifunza baada ya kutoswa 2010....tuwa na siasa za kuvumiliana kama akija basi sisi wananchi tumsikilize halafu tufanye maamuzi tena...

we vp, unatoa hoja halafu unatufundisha cha kusema na kufanya? Ninyi mtabadilika lini? Kwa nn mnawajadili wahujumu kama watu wema? Mathayo ni msafi? Anakupeni nn?
 
Yule mfuga Majambazi nani ampe kura tena? Amefuga vikundi vya mauaji vya west Lawama na jamaica Mockers,ameachisha wanafunzi masomo ili kujiingiza katika makundi ya ujambazi ili yuamsaidie kisiasa anachukiwa na wazazi wote Musoma mjini labda aende Bunda
 
Huyu katokea wapi tena ujinga kwa maandishi ni hatari bora kwa mdomo,matayo na kundi la majambazi hata serikali ya idi amin haimtaki
 
Mmempa za tumbo mpaka KONGOSHO amepote jamvini nyamb..f! Watu wanatumwa kuleta taarifa za kujipendekeza hapa alaa!
 
Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja

Ni haki yake kugombea kupitia chama chochote cha siasa lakini waamuzi ni wapigakura.

Mengine yatabaki ushabiki na unazi tu. Mwambie agombee ili tuone wapiga kura watasema nini.
 
Kwani huyo vicent yeye ana hati miliki na maamuzi ya wanajimbo la musoma?? jamaa kuwa na siasa za kuvumiliana na zaidi uwe unajua kwamba mambo hubadilika..

Amekutuma uje upime upepo humu? Sasa kwa taarifa yako kwanza ombeni msamaha kwa Ndugu wa yule mjaluo aliyemua kwa kushirikiana na vijana wake.
Hivi mashamba ya kule Mugumu ameona haimlipi? Kweli mla nyama ya binadamu akishaonja haachi. Mathayo ndani ya miaka mitano tuliompa alifanya kazi ya kufungua makampuni ya kuiba pesa halmashauri ya musoma. Barabara zilimshinda lakini fedha zilitengwa. Nenda sasa musoma uone kazi ya CDM kujenga madaraj makubwa, Mfano Barabara ya makoko na saa nane nyakato. We acha mambo ya unafiki. Vincent bado tunamtaka aendelee. Mimi niko Korea lakini taarifa za Nyumba kwetu Musoma napata sana.
 
Ana haki ya kugombea tena na kama chama chake kikimpitisha tusihukumu sisi ila wana Musoma ndo wameshikilia maamuzi.
 
Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja

utaahira mwingine bana yaani cjui niseme nn. Kuna mtu wa kuwatoa pipozi msm town kweli?
 
Kwani huyo vicent yeye ana hati miliki na maamuzi ya wanajimbo la musoma?? jamaa kuwa na siasa za kuvumiliana na zaidi uwe unajua kwamba mambo hubadilika..

Labda aje mwingine sio huyo kilaza........tena kwa tiketi ya ccm...bora aje kwa chama kingine labda anweza kufikiriwa!
 
Mathayo gani?? huyu ambaye hata ukimwambia akueleze background yake kidogo kwa kiingereza hawezi... nasikia alienda CHINA kutafuta pampu za maji akasema NATAKA BHAMPUUU.. wakampa pampu za kumwagia nyanya alivyo mkudda kabeba kaleta kuzifunga tu sku mbili zikafail..
Nyerere amefanya maendeleo mengi sana.. PITA mitaa ya majengo bweri na makoko uone jinsi alivyojenga barabara
kila akitaka kwenda bungeni lazima aje kutusikiliza pale MKENDO na kutuaga sasa tunataka nini zaid
uyu matayo ni jambazi mno.. linafuga vikundi vya ujambazi mala mbio za vijiti , mara mokers mara sijui mdomo wa furu yaan tabu tupu..
 
labda awe mbunge wako na mke wako vedastus hata akigombea na gwanda la chadema gwanda litashinda hivyo nenda umwambie kama amekutuma asijaribu cha moto atakiona hana jipya la kuwambia wapiga kura wa musoma mnafiki mkubwa.
 
Mathayo labda yule shemeji yake Zembwela,huyo kakaa Bungeni miaka 5 akawa analipa majambazi ya kuua wanaompinga,usiwakumbuishe wana Mara mauaji ya Marehemu Peter na wenzie,huyu hatakiwi hata kwa mbolea jaribu mwingine labda kuna yule ¡inamu yake nilikuwa nae hapa Tanga kaanzisha shule pale bweri,lakini Vedastus hata magamba hayamptishi yeye na mpenzie rose kirigini
 
Pamoja na yote hayo, bado jamaa anafaa kuwa kiongozi, jamii imtumie. Mimi ni CDM, lakini ninamkubali.
 
Back
Top Bottom