Vazi rasmi la Taifa kupatikana katika ngwe ya Mh Mwakyembe?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
332
Nimetafakari sana na kukumbuka kuwa suala la kuwa na vazi la Taifa limechukua muda mrefu sana. Nikakumbuka kuwa Mh. huwa anaacha a positive legend kila anapopita. mf akiwa Waziri wa Sheria na Katiba rasimu ya sheria ya Msaada wa kisheria ilisomwa bungeni kwa mara ya Kwanza. Tuna imani successor wake atamalizia alipoachia.
Pia ni imani yangu kuwa Mh atahakikisha Vazi la Taifa linapatikana.... Nitafurah kuona viongozi wetu wote wakiwa wamevaa vazi rasmi la Taifa katika masuala yote ya Kitaifa... Itapendeza mno... Mh. tunasubiri kwa udi na uvumba hili vazi letu la Taifa......
Baba atafurahi sana akipata vazi hili....

Inshallah...
 
Back
Top Bottom