Vazi la taifa limefikia wapi?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,914
Leo tumeshuhudia tume ya marekebisho ya Wimbo wa Taifa

Vipi kuhusu vazi la taifa mmefikia wapi?

Enzi za Kikwete ziliundwa tume sijui kamati ya vazi hilo watu wakala wakanywa na posho juu lkn matokeo hakuna

Leo Wimbo wa Taifa umeundiwa tume vipi vazi nalo?

Najua ni upigaji juu ya upigaji
 
Leo tumeshuhudia tume yamarekebisho ya wimbo wa taifa

Vp kuhusu vaz la taifa mmefikia wapi?

Enz za kikwete ziliundwa tume sjui kamat ya vaz Hilo watu wakala wakanywa na posho juu lkn matokeo hakuna

Leo wimbo wa taifa umeundiwa tume vp vaz nalo?

Najua n upigaj juu ya upigaji

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Leo tumeshuhudia tume yamarekebisho ya wimbo wa taifa
Mwendazake alitaka kuandika upya historia ya Tanganyika.. Kilichompata anakijua mwenyewe.. Hawa leo wanataka kuusahihisha wimbo wa Taifa wamewasiliana na wazee wa Bagamoyo? Wanachokitafuta watakipata
 
Back
Top Bottom