Tena kamati yenyewe ilikuwa na viongozi mmojawao yule Mzee wa fursa kutokea Clouds media.....!!!hahahaha hii ilikuwa njia nyingine ya ulaji,maana mpaka kamati iliteuliwa sijui yaliishia wapi?
Watuache tu na mavazi yetu hayahaya tuliyozoeaKama sikosei Januari 2012 Dkt. Emmanuel Nchimbi aliyekuwa waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati huo aliteua kamati ya vazi la taifa iliyojumuisha Joseph Kusaga, Joyce Mhaville, Mzee Makwaiya Kuhenga (yule wa kipindi cha Je, Tutafika? Channel ten), Mustafa Hassanali, Ndesambuka Merinyo, Absaloom Kibanda na wengineo. Septemba 2012 kamati hiyo ilikabidhi ripoti yake kwa Dkt. Fenella Mukangara ambaye kwa wakati huo ndiye aliyekuwa waziri katika wizara husika badala ya Dkt. Nchimbi aliyekuwa kahamishiwa wizara nyingine ya mambo ya ndani. Kilichoendelea baada ya ripoti hiyo kukabidhiwa ndiyo imebaki kitendawili hadi leo hii. Na sijui ni watanzania wangapi wakiulizwa leo hii watakiri kuwa na hamu na hilo vazi la taifa.
he,hivi mpaka leo hajakwenda ikulu?maana awamu iliyopita alipafanya ikulu kama sebuleni kwake mara T h nini sijuiTena kamati yenyewe ilikuwa na viongozi mmojawao yule Mzee wa fursa kutokea Clouds media.....!!!
Anatafuta namna ya kumuingia magufuli. Si unajua magufuli haingiliki kirahisi? Ila sasa kama wanamuweka Nape vizuri maana wameanza kuwa karibu naye........wazee wa fursa!!he,hivi mpaka leo hajakwenda ikulu?maana awamu iliyopita alipafanya ikulu kama sebuleni kwake mara T h nini sijui
Na kwa wanaume...!!!Vazi la taifa ni madela kwakweli maana ndio yanayoongoza kwa luvaliwa
Nadhani kwa wanaume itakuwa ni kanzuNa kwa wanaume...!!!
Sisi wa bara kanzu sio utamaduni wetu.Nadhani kwa wanaume itakuwa ni kanzu
AU NDIO MADELA?
Wakuu habari,
Hivi ule mchakato wa kutafuta vazi ka taifa limeishia wapi? Au ndio madela?
Naomba mwenye kuelewa juu ya hili, atusaidie tusiojua.
Asanteni.