Mindi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2008 Posts 3,523 Reaction score 4,998 Dec 13, 2018 #121 Nyani Ngabu said: Unalikwepa swali kwa kuwa dismissive! Bye π Click to expand... Typical Nyani ngabu, no balls for real arguments. bye.
Nyani Ngabu said: Unalikwepa swali kwa kuwa dismissive! Bye π Click to expand... Typical Nyani ngabu, no balls for real arguments. bye.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Dec 13, 2018 #122 Chief said: Magufuli alishavaa hivyo ila sikumbuki kama aliitwa dictator Click to expand... hahahaha basi kama unapoteza kumbukumbu hivi basi wewe utakuwa ni rafiki wa TANAPA
Chief said: Magufuli alishavaa hivyo ila sikumbuki kama aliitwa dictator Click to expand... hahahaha basi kama unapoteza kumbukumbu hivi basi wewe utakuwa ni rafiki wa TANAPA
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Dec 13, 2018 #123 Volatility said: Tatizo la Magu ni kuvaa hilo jeshi na kuanza kujitapa kwamba yeye ndio Jemedari Mkuu wa Majeshi. hayo ni maneno ya kidicteta kutisha watu. Click to expand... HAHAHAHA wewe ndio walke wanao ongelewa kwenye huu uzi kwanin akijitapa wewe unawashwa nini? kama unafikiri kuwa Rais ni rahisi kachukue fomu hahahaha TANAPA bhana
Volatility said: Tatizo la Magu ni kuvaa hilo jeshi na kuanza kujitapa kwamba yeye ndio Jemedari Mkuu wa Majeshi. hayo ni maneno ya kidicteta kutisha watu. Click to expand... HAHAHAHA wewe ndio walke wanao ongelewa kwenye huu uzi kwanin akijitapa wewe unawashwa nini? kama unafikiri kuwa Rais ni rahisi kachukue fomu hahahaha TANAPA bhana
Tee Bag JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 7,220 Reaction score 5,627 Dec 13, 2018 #124 Nyani Ngabu said: Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta. Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia. Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta? Click to expand... Nani aliyekuaminisha hivyo, alishavaa kwani tulisema, udikteta unakuja kwa matendo yanayofanyika
Nyani Ngabu said: Hoja yangu ni kwamba, akivaa Magufuli tunaaminishwa kuwa kavaa hivyo kwa sababu ni dikteta. Uhuru tunaaminishwa kwamba ndo mmoja wa vinara wa demokrasia. Sasa Uhuru akivaa kijeshi bado anakuwa kinara wa demokrasia au anakuwa dikteta? Click to expand... Nani aliyekuaminisha hivyo, alishavaa kwani tulisema, udikteta unakuja kwa matendo yanayofanyika