chicha kwanza ina maana ya kuwa bwii, au mtungi baada ya kuzigida za kutosha, lakini pia chicha "kimtaani" ni kifupisho cha neno mchicha..yaani kutoka mchicha ni kutoka pina, au kupendeza..so hapa nadhani jamaa alimaanisha hii ya pili kwamba mama ametoka pina yaani amependeza kwa kile kifupi cha mchicha..thats what i think kimtaani..
yeah, limekuwa kubwa kidooooooogo, lakini amependeza sana. Anaonekana kama mama wa Afrika ya kati au magharibi kule. Hivi ndio kusema hakuna vazi la kitanzania eeeeh?