Vazi la huyu mheshimiwa wetu kule RSA nimelipenda sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vazi la huyu mheshimiwa wetu kule RSA nimelipenda sana

Discussion in 'Jamii Photos' started by BAK, Jun 9, 2010.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,668
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .......Ni kweli mama kavaa kiheshima na hili vazi ni la kiafrica.Hongera mummy umetoka chichaaaa!!
   
 3. handsomeboy

  handsomeboy Member

  #3
  Jun 9, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hivi unaelewa maana ya neno chicha kisasa
   
 4. b

  bob giza JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chicha kwanza ina maana ya kuwa bwii, au mtungi baada ya kuzigida za kutosha, lakini pia chicha "kimtaani" ni kifupisho cha neno mchicha..yaani kutoka mchicha ni kutoka pina, au kupendeza..so hapa nadhani jamaa alimaanisha hii ya pili kwamba mama ametoka pina yaani amependeza kwa kile kifupi cha mchicha..thats what i think kimtaani..
   
 5. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  hivi huyo mwanaume ni charles hilary?
   
 6. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2010
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Huyo mwanaume ni Charles Hilary, BBC Swahili bila shaka wamepeleka mtangazaji kwa ajili ya live coverage.
   
 7. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Huyo ni Balozi Msuya, wa Afrika Kusini. Ni smart upstairs and on the outside.
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kweli macho huwa yanaona tofauti mie naona kama ni oversize..
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Una maneno! kwa kuwa shingo limemwagika??:A S-eek:
   
 10. M

  Mundu JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  yeah, limekuwa kubwa kidooooooogo, lakini amependeza sana. Anaonekana kama mama wa Afrika ya kati au magharibi kule. Hivi ndio kusema hakuna vazi la kitanzania eeeeh?
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,456
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Huyu ana undugu na Dr.Migiro?
   
Loading...