Vazi gani hili kwa vijana wetu wanajukwaa?

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,985
2,770
wasichana nao.jpg vijana.jpeg suruali gani hii.jpg kichaa.jpeg magomeni.jpeg kariakoo.jpeg sagging-trousers-woman.jpg
 
Vazi hili linanitia kichefu kutapika. natamani niwavue kabisa suruali zao ili tuone wanachotaka kutuonyesha hadharani.
 
Mie ndio nnakua na wasiwasi utadhani nimevaa mie,naona kama itaanguka wakabi bila nguo mbele za watu.
 
halafu mavazi hayo wanaita "saggin" na kinyume cke utaona ni niggas.......mieusi ndiyo ilivyo
 
halafu mavazi hayo wanaita "saggin" na kinyume cke utaona ni niggas.......mieusi ndiyo ilivyo

Mwanatanu punguza paranoia; It is sag (Verb) become soft and bend or hang downward. to become soft and start to bend or hang downward; present participle sag·ging
 
Upotovu hupo katika sura nyingi, hii pia ikiwa ni sura mojawapo ya kupotoka. Mtoto wa kiume kuvaa trouser chini ya ******! Kama ni fasheni hakika ni fasheni ya upotovu na kuweuka. Binti kuvaa beltless ambayo sio saizi ya kiuono chake kwa kigezo cha fasheni, huku ni kuanza kuji initiate kwenye uchangudoa. Ebu vijana tubadilike, sio kila kitu cha kuiga, vingine vina asili yake yenye tafsiri mbaya, mwishowe tutaiga hata kunya kwenye sahani zetu za kulia chakula.
 
Back
Top Bottom