VAT bado ni shida kwa wafanyabiashara wadogo

VAT bado ni shida kwa wafanyabiashara wadogo

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,882
Nimeshukuru Serikali kwenye budget Mhe. Mwigulu amejaribu kuangalia marekebisho kwenye suala la ulipaji wa VAT.

Lakini nimeona bado pendekezo lake la kuweka turnover ya milioni 200 bado haijakaa sawa maana hyo ni wastani wa mauzo ya 550,000 kwa siku.

Sasa mauzo ya laki tano kwa siku kuna faida ya kugawanya hadi upate hela za muhasibu na kufile returns kweli?

Usajili wa VAT uende kwa biashara kubwa at least millioni 500.
 
Back
Top Bottom