The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,898
- 21,335
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.
Kwa nini nasema hajapigwa.
1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.
2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?
3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.