Iko hivii Vans imeikuta All Star na itapita na kuiacha All Star ikitamba na pia kama wew ni kabwela kama Mimi nikupe siri ya kuchagua nguo na viatu jaribu kuchagua kitu ambacho kinadumu na pia hakipitwi na wakati yaan kila siku bado kipo kwenye form tu!!