Habar ya asubuhi wenzangu .nnahitaji vanilla nyingi au naamaanisha mzigo wa vanilla ambazo hazijakamuliwa .naombeni mnielekeze mahali zinapopatikana au ambae anazo anijulishe ntashukuru sana. mtakaomisaidia na Mungu awabaliki
Ziwe ambazo hazijakamuliwa.