Vanessa

Vanessa

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
13264_1064698616877889_8527567974793583869_n.jpg
 
kwanini watu wenye vidoti huwa wanakuwa wazuri sana?karibia wote niliowahi kuwaona huwa ni wazuri.
 
Kumbe nae ana kidot haya tumemuona ila tu ungetuwekea na tumbo Flat ebu fanya hivyo maana ndo nasikia anaongoza kwa kuwa na Tumbo flat
 
Neema za Allah vipi? Zimo? Sura hata kwa mchina inapatikana ati!! Sheikh mie nataka nione Neema za Allah tu
 
Napenda sana anavyoimba huyu dada.Kwa wanamuziki wa tz kwangu mie huyo ndio my number one
 
Mwenzenu huyu msanii anafanana sana na aliyewahi kuwa shemeji yenu kiukweli, Hii imenifanya niwe namfuatilia sana habari zake na kokote nikimwona naburudika kabisa, Huwezi amini imenifanya niwe na picha zake nyingi kwenye PC yangu na hata kwenye smartphone yangu..

Haitoshi, nina nyimbo zake zote na hata clips za vipindi vyake vyote vya MTV nnavyo, Napenda kumwangalia na kumsikiliza all the time! Zaidi, Nikionaga lile tangazo la Airtel SWITCH ON, huwa sipepesi jicho hata kidogo! Napenda kazi zake, swaga zake na kila kitu kumhusu...

ILA huyu ex-shem yenu (jina linahifadhiwa), hapendi kuwa exposed sana na hata kwenye mitandao ya kijamii hajajishughulisha kujiunga, anadai hana sababu ya kufanya hivyo, so hata picha si mpenzi kihivyo... Kiasi kwamba imenifanya nichanganye picha zake nyingi na za huyu Vanesa na You cant notice the differrence ukiziona....

Ningeweka picha yake mjionee ila for some privacy reasons naomba mnisamehe kwa hilo!

Nakumbukaga mbali sana kusema kweli nikimwona....

Asante Salamander kwa kunipa sababu ya kuandika haya yote!

You've reminded me of a girl I once Loved......

I miss u dear..

Alikupiga kibuti au?
 
Last edited by a moderator:

MR.CONFIDENT
umeandika kwa hisia sana.
 
Daah anafanana na demu wng wa sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom