Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,755
Ha ha ha haKama kamkatalia basi hatuendi tena kwenye show zao. Hivi hajui kama mteja ni Mfalme!
YNWA
ha ha ha ha ha ah UMEUA.Kama kamkatalia basi hatuendi tena kwenye show zao. Hivi hajui kama mteja ni Mfalme!
YNWA
Na unga mkono hoja% 100Kama kamkatalia basi hatuendi tena kwenye show zao. Hivi hajui kama mteja ni Mfalme!
YNWA
Mzuka utoke wapi kipindi hiki cha baba jesca?Uki_zoom picha utaona hao walioingia humo kwenye show kama wapo kwenye zile free show, yaani hawana mzuka hata[emoji52] !!