Van/truck for hire

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,085
Kama title na picha zinavyojieleza, nakodisha kwa short au long term truck yangu kwa shughuli zozote zile hapa Dar na Tanzania kwa ujumla. Truck lipo ktk hali nzuri sana!

Mfano- Katika removal ( kuhamisha mizigo), usafirishaji magodoro, maji packed, stationeries, nguo, vyakula vya kuku, chupa& packages, magazeti, vitabu, madawa na vitu vyote visivyohitaji shurba ya mvua na jua.

Truck ni ya tonne 3.5, ina box body ya fibre material na dereva yupo. Lina vibali vyote.
Tupo Dar - contact 0763 853 801
 
Truck ipo tayari kusafiri kokote ndani ya Tanzania
 
Weka bei hadharani mkuu tujue...
Nilikuwa natafuta sana hiyo kitu kwa ajili ya kusafirisha mayai ya kuku
 
Bei itategemea umbali na uzito mkuu, nijuze hivyo vitu hapo huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…