Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE kuvaa mlegezo akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali

Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE kuvaa mlegezo akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,728
Reaction score
11,107
Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali

Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira

Mimi naona wakongwe wangenyamaza tu kila mtu ana uhuru wake binafsi namuona lamine Huwa anapendeza akivaa ivyo

Na bahati nzuri alimjibu kwa vitendo van de vart alifunga goal Kali na akashangilia kibishoo uku bukta yake ikiwa chini ya matako.

20250324_234504.jpg
20250325_000046.jpg
 
Attachments

  • 20250325_123737.jpg
    20250325_123737.jpg
    150.1 KB · Views: 17
Kwa mtoto wa Kiafrika kuonyesha matuta katikati ya halaiki siyo jambo zuri hata kidogo,hayo mambo waachiwe wazungu na waarabu weusi tuna utamaduni wetu wa kuficha maungo yetu tuufuate.
 
Kwa mtoto wa Kiafrika kuonyesha matuta katikati ya halaiki siyo jambo zuri hata kidogo,hayo mambo waachiwe wazungu na waarabu weusi tuna utamaduni wetu wa kuficha maungo yetu tuufuate.
Sioni kosa maana kuvaa ivyo hakuna uhusiano na uwanjani
 
Huyo veterani asijisahaulishe Lamine bado adolescent, uwezo wake uwanjani usiwasahaulishe ana miaka 17 tu

"Pants down, goal scored, penalty missed and intobthe semi-finals… vamos, Spain."
 
Alafu kijana wa madrasa kabisaa anaonyesha kishudu haijakaa powa apo enzi hzoo madrid wanawahun Pepe na ramos wakikutana na baselona nahathan dogo hyo bukta angekaza na zlekamba kabisaa
 
Ni utoto tu
Me nilikuwa addicted na kuvaa mlegezo
Kipindi chote nasoma hadi form 6, niligombana na walimu sana hadi wakachoka wenyewe
Sasa nafunga mkanda mwenyewe, majukumu yananikaba
Ndo maaana.... Sasa nmeelewa why. Tuendelee na mfungo kwa sasa.
 
Mkongwe wa uholanzi Van De Vart alitoa kijembe kwa LAMINE YAMAL NASRAOUI EBANA kuwa akiendelea kuvaa ivyo hatofika mbali

Je Kuna uhusiano wowote kati ya mlegezo na kiwango cha mpira

Mimi naona wakongwe wangenyamaza tu kila mtu ana uhuru wake binafsi namuona lamine Huwa anapendeza akivaa ivyo

Na bahati nzuri alimjibu kwa vitendo van de vart alifunga goal Kali na akashangilia kibishoo uku bukta yake ikiwa chini ya matako.

View attachment 3283007View attachment 3283008
Kuvaa hivyo ni kutamanisha watu makalio yako. Utaliwa so kiwango kitashuka.
 
Back
Top Bottom