Value Retention Fees Repaid as of 30th April

Value Retention Fees Repaid as of 30th April

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,169
Msamiati mpya wa bodi ya mkopo wenye kuongeza deni la mnufaika.
Value Retention fee repaid maana yake imeshalipwa lakini wanaiongezea tena kwenye deni.
Wanamahesabu imekaaje hii??
 
Nimejaribu kufungua ili nione deni langu huko bodi naambiwa..... temporary closed
 
Maana yake VRF imeondolewa kwa mkopaji pengine hurudishwa kwa serikali. Repaid maana yake iliyorudishwa au kuondolewa.

VRF repaid since 30 April maana yake imeondolewa tangu tarehe 30 Aprili.

Kama nimekosea basi ni ubinadamu.
 
Dadavua mkuu.
Wameongezea vipi?
Ukichukua statement utaona kuna VRF uliyolipa kabla tarehe 30 April.
Kama umekopeshwa milioni 10.
na VRF ikawa milioni 1.
Jumla ya deni lako linakuwa milioni 11.
Ukilipa milioni 9 hadi sasa. Wanachukua chao cha VRF milioni 1 wanadai hii ni kabla ya Mei mosi na itakayobaki milioni 8 inapelekwa kwenye deni halisi.
Hivyo deni lako litabaki milioni 2.
 
Back
Top Bottom