Valentine

Valentine

calvin robert

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Kama hali itaenderea hivi hivi sizani Kama Valentine iyaeleweka.....
Maduka uamefungwa mi zawadi mutates wapi🙁
 
mkuu hebu pitia basi post yako uedit japo kidogo
 
Valentine haiwezi kuyeleweka aisee kama uandishi wako utaenderea hivi!!!!!!!!!
 
Ni zawadi ya uzinzi tu hakuna nyingine hao wafanyabiashara wa kaliakoo hawajaharibu kitu hapo
 
Huyu jamaa aliyepost huenda ni hawa wachina wa pembe za ndovu maana ngeli zimepishana sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom