Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

The future is looking at you kid now!

Ikawa Sisca na Nerd they going stronger and stronger. Ila kama kawaida Kubwa la maadu ndo ana make all the decisions about them. Sasa siku hio kukawa na harusi ya mshakaji wao kubwa la maadui anaoa. Sisca akawa hataki kwenda coz MBA atakuwepo. Na yeye hataki kumuona maishani mwake.

Akawa anatoa visingizio, kimeenda kimerudi, akaambiwa hapa kwenye harusi tunaenda. Utajificha mpaka liniii.You were the victim, so kwanini utesekee. Akagomaa zaidi ya mbuzi kagoma kwendaaa. Kubwa la maadui ikabidi sasa atumie diplomasia sasa. Sikia baby, najua alikukwza na nini, bt wewe uko na mimi, you are going with me, you know me, siwezi kwenda pale niache anything bad happen to you. I got you. Yule hawezi kukufanya kitu.

You my girl, i want to go with you places comfortably, i want to flaunt you, i want to enjoy being your man bila pimbi yoyote kuniingilia kwenye 18 zangu. Trust me, wewe twende, people talk more ukiwaendekeza na ukijifichaaa. But if you are strong confront your ghosts, dare the devils wenyewe wananyweaaaa. Kama hivi ukijificha ndo watafurahi kwamba hujaja. Be stronger than your fate.

Kampa maneno laini laini, huyu hapaaa kajaa nyavuni, kavaaa wakaenda. Ila bado tumbo linamcheza kwa uogaaa. Kufika kule kuangaza kidogo MBA huyu kakaa na mkewe. Akajilaani kutembea na mume wa mtu hamna mfano, maana akawa kama mtumwa. Anajihisi watu wanamsemaa semaaa, ila kubwa la maadui yupo close, kamuagizia shots mwenyewee. Maana alimuona antembea roho mkononi. Basi anampigisha story mpaka akaanza kuzoea na kuchangamka.

Mara kubwa la maadui akaja kuitwa na wenzie wakawa wameenda kusimama pembeni kule, na MBA akawa kaendaaa. Kwanza alijua hawaongei MBA na kubwa la maadui, si kwa alichowafanyia. Akajua pale kubwa la maadui ana feel so awkward sema ndo urafiki mjini deniii. Basi wakateta wenzao wakarudi kukaa wakabaki Kubwa la Maadui na MBA, akashangaaa, akajua ngumi zitapigwaaa. Mara anawaona wanachekaa kabisaa wanagongaaa. Yaani story zimenogaa mbayaaaa, kama zamani, vicheko vya bashashaaa kama washkaji kiroho safiiiii.

Akaona kama anasikia kutapikaaa, nafsi inamtukutaaaa, akatoka nje na pochi yake jumla jumlaaaa. Huku KLM anageuka anakuta kiti cheupeee akajua tayariiiii, picha lilishaungua ikabidi afanye kumkimbia nje, akamkuta anatapika tuuu. Ikawa Sisca kanuna hatariii, manake akawa kaona wanamchezea picha, mineno yote ile bado washkajiiiii. Akamwambia bwana wee tuondokee.

Kwenye gari hamna kuongea kila mtu kimyaaa. Kufika kwa Sisca anamwambia usiku mwema yaani asishuke kwenye gariii, KLM akashuka vizurii, tena kapaki kabisaaa jumlaaana gari kalizma,na kulock. Sisca anamwabia leo itabidi ukalale kwako i want to be alone. KLM akachekaaa tu. Akamwambia kwanini? Sisca akamjibu uwe muelewa mda mwingine KLM akamwambia mimi nalala hapa hapa, hujanitoa kirahisiii. Si nachangia kodi na maintenance hapa, basi kulala hapa ni halali. Khaaaaaaaaa! Sisca akamwambia labda ulale nje! KLM akamjibu kulala nje itakuwa ngumu, ukinifungi mlango kwa nguvu zipi labda uingie hapa ufunge mimi nipo nje, hata ukifanikisha hilo kichawi labda, nauvunja mlangooo naingia nalala kesho namleta fundi aweke mlango mpyaaa kwani sh ngapiiii? Sisca akacheka tuuu! Akamwambia basi sifungui mlango tulale wote hapa nje. Akakaa kibarazani. Hahahaaaaa! KLM akajibu tu, tena cha nje kitamu sanaa, we never tried that before. Sisca akamsonyaaa yaani unategemea sex tonight of all nights! Hahahaaaaaaa! Unachezaaa. KLM akajibu utanipa tu, kununa kidogo imooo, kuninyima mzigo haimooo hio. Sisca akajiapiza akimpa chiu siku hiyo sio yeye.

Wakawa wamekaa nje tu, wanaliwa na mbuu tu, mda unaendaaa. KLM akatoa msokoto kitu cha bob Marley, akakiwashaaa anakipuliza kidogooo. Sisca akamwambia naomba na mimi msokoto. Akamwambia sina, na hata ningekuwa nao nisingekupaaa, mwanmke gani unavuta bangiii. Akamwambia nipe bwanaa, unanikata stimu, nishavuta sanaaa, too late kunikataza. Akamjibu bangi hupati hapaaa, siwezi kukubali uje uniharibie watoto. Sababu mimi dume la mbegu navuta naweza ku control, wewe kuvuta ukiwa na mimi sahau.

Anapuliza puff zake kishkwambiii. Sisca anamuomba, nipe basi hata pufff moja. Aaaah wapi. Akamjibu basi kesho naenda kununu misokoto 10. KLM akamjibu labda nisijue, nitakupigaaa, si sijawahi kukupiga, vuta hata puff uone utavochezea kichapooo. Akamjibu weee mimi sipigwiii, baba yangu mzazi mwenyewe hajawahi kuninasa kibao afu wewe mtu baki uje unipige thubutuuuuu. Labda tuachane sio kunipiga. Akamwambia kuachana hakupooo, tena sahauuu, na ukinitibua nakupa kichapo mpaka ukae nafasi yako. Kama hutaki kupigwa behave, usinitibue. Ama sivo kichapo unachezea na uhusiano unaendelea.

Sisca akamjibu weeeee labda sio mimi. siku utayonigusa ndo mwishooo. mimi najiweza sio lazima niishi na wewe, sikai in abusing relationship. Kwanza unanitawala sanaaa. Naoana nimekufuga mda mrefuuu. We should take a break! Hahahaaaaaaa! KLM akacheka, hapa break hamnaaa, come on ujue wewe sio katoto tena ka 25 yrs, running from shit, scared of shit. Wewe mtu mzimaaa, ukikereka jambo unasema tu kitu flani kimenikreaa, we talk it over. I guess mimi kucheka na MBA is what is eating you up. All this drama.

Sikia sis watu wazima, we should be stronger than any issue, MBA tumejuana like forever, sawa alikosea na nini but we went past it, so should you. Ukikaa maishani mwangu zoea tu kuwa MBA atakuwepo piaaaa. Isitoshe dunia hii utawashut watu wangapiiii. Na mimi nilikupora kwake, he got past it. I stole his girl, we unahisi anafurahi kuniona navojitanua na wewe, anajikaza tuuuu, ndo maisha tenaaa. Na wewe ujikaze ndo ukubwa huooo. Utanunaa mpaka lini?

Sisc akafungua mlango akaingia ndani, KLM nae akaingia ndani. Akavua nguo zote sisca, akaoga akaja kulala na pajama. KLM anamwambia ndo nini sasa? Sisca akamjibu sina nyege hata mojaaaaaaaaa, leo niache tu utanichubuaaa. Akamwambia mzigo utanipa tuuu. Sisca akamwambia kweli shika uamini. Akagusaaa! Akasema khaaaaaaaaaaaaa! Umeoshea ndimu kabisaaa nini huko bafuni si kwa ukavuu huu! Kweli hapa hata mimi nitachubuka. Hahahaaaa!

KLM akamwambia ujue nakupenda sanaaa, of ll days leo we must have sex, sio kwa kutaka inatubidiii. Htuwezi kujiendekezaa kila tukimuona MBA we cant have sex, ndo maisha ganiii sasa, si utumwa huooo. Unachotakiw ni kujikaza na kujitahidi, kila tukimuona MBA we have the hottest sex ever! Dont take it seriously, you made your mistakes, i made mine,but we are togethe now that should mean eveything. Hata uksirike vipi ishatokea, hata nisipomsalimi MBA nikaweka kinyongo still haitotusaidia kitu.

Hata yale mambo yangekuwa kweli, ningekusmehe tu, ingechuku mda kidogo but ningebull shit cause that is who i am, nimesamehe vitu vingi maishani ndo maana nimefika hapaa. Kama ingekuwa kweli i would have helped you to become a better person instead na ningekupenda hivi hivi. Mbona mambo mengi ulikuw unafanya because of life, sikujaji i help you become better and better ka kulewaa, hata bangi leo jioni. Kudeka deka, sometime nakufanyia umafia because it is the right thing to do. Ningeweza kukuchokaa na kusema mwanamke mwenyewe mlevi, mvuta bangi niakakukula kwa hamu tu, bt sifanyi hivo tunaenda kijeshi jeshi hivo.

Umesikia baby wangu nakupenda sanaa, akaanza kumpiga mabusuuu, upinzani hakunaaa, kuingiza mkono tayari pashajiseti siku nyingiii, aaaaah KLM akala mzigo genuineee afu mtamu balaaaaa. Nguzo zote za bibie Sisca zikaangushwa moja moja.

Angy akawa kakaa na mwanae kila siku anamuuliza baba atarudi lini? Anakosa jibu la kumpa! Mara amuulize baba ana mama mwingine kama baba kina Joe na mimi nitakuwa na mama mwingine? LOOOO! mtoto kama katumwaaa. Mara amwambia dada yake, my mum will marry my dady becuase my mum is beautiful. Mara mda wa kusali aseme God please God bring Dady home!

Akaona imetoshaaa akamfata huko huko kwa mama yake. Akavizia mchana wanakuwa kazini kasoro mgonjwa na msichana wa kazi. Kafika kakuta kupo wazi kaingia mpaka sebuleni, akamkuta anangali tv kajilaza kwenye kochiii. Akaingia kakaa. Mgonjwa akataka kunyanyuka aende chumbani, akajisikia maumivu akakosa balance, ikambidi arudi kujilazaaa.

Wakakaaa kama nusu saa hana anaeongea. Mgonjwa kaanza Angel mimi kukusamehe sizwezi sio maisha haya wala yajayo naomba uniache nijiuguze kwa amani, ama ulivoshindw kuniua kw pressure umekuja kuniua kwa kunikaba na mto nini? Mmmmmh!. Angel akaja kumwambia sijakuomba msamaha, wla siwezi kukuomba msamaha kwa chochote si kwa maisha haya wla yajayooo mimi siwezi kukuomba msamaha sababu sijakukosea kitu chochote, wala usinisamehe ukishindwa kunilipiza kama unaona nilikukosea, ukishindwa maisha haya please do definitely take your revenge in the next life. I have taken responsibility for what i have done. Wewe ulikuwa hunipendi siku nyingi tu, nimekubaliana na hali, i have no regrets.

Isipokuwa kilichonileta hapa ni Mellisa, mtoto kule anakukumbukaaa. Tushaharibu haribu maisha yetu, tusiharibu maisha ya mtoto please. That is the only noble thing we have left. We rudi nyumbani tumlee yule mtoto, master ile nakuachia, tembea na mu yeyote utaejisikia, fanya lolote mi sitosema kitu, sitouliza kitu, i just need you to be the father you are to our daughter mengine yote sina la kusema.

I promise i will make it easy for you kuishi pale, sikupigi vijembe, no attitude, tushakuwa watu wazima sisi, hata ukileta ule mchepuko wko nitautengea juice bila kutia sumu ndani wala chumvi. Hahahaaaa! Wakachekaa! Fanya urudi, haina lazima kuwa maadui, hatuongei, umri ushaendaa, mtoto mkubwa yule 4 yrs, we should not fail as parents that is the most important thing now, since we failed in everything else.

Mgonjwa akamwambia embu nipe maji nimeze dawa mda umefika, akamsogezea, akamwambia nipeleke chumbanii nikapumzikee, akawa kamsindikiza, akamwambia kiukweli nitarudi nyumbani for my daughter na because the cookings here suck! Hahahaahaaa! Nimemiss misosi yako kinomaaa. Na kudeka mgonjwa imooo. Hahahaaa! Wakachekaaa.

And the ice between them was broken, they buried the hatchet.

Anny kwa mchaga huku hali tete, mchaga anakwepa kwepa swalaa. Akawa concerned ndo ashakuwa hanisi au? Akaona bora ajaribu kwingine. Weeeeeeeeeeeeee! Kapiga show ya kibabe sio kidogoooo. Akasema au ndo nishapata kisukariii? Akaenda kupimaaa. Iko normal tu hana tatizo lolote. Akajua itakuwa ilikuwa woga tuuu.

Akaanza kujiandaa na mechi ya marudianooo, anakula mihogo mibichi, karanga, na asiambiwe kitu inaongezaa yumoooo. Supu ya pweza daily. Kama si yeye. Akaanza kutoka chunusi nyege zimemjaa si kidogo. Akasema sasa Anny utaisoma nambaaaaaaaaa! Katika maongezi akamwambia aisee Anny nataka kukutoa resort weekend, pale bahari beach nimelipia chumba cha $170, nata tuspend weekend wote. Anny akachekaaaa! Jamani Mangi hiko chumba tutakuwa wote au ndo mambo ya kazi za ghfla usiku nilale mwenyewe? Mangi anajitutumua tutakuwa woteee, niaje tena Anny mbona unaleta mambo sizooo. Unafiiii unafikiri kweliii! Mimi lazima niwepo nimezima simu! Mangi nae kwa kujitutumua. Hahahaa! Akamwambia haya najiandaaa, ole wako unizeveze kama kwaida yako and you better get it done this time. Mmmmh! Mangi moyo ukampasukaaa. Akjitutumua ofcourse Anny you will never regret.

Moyoni Mangi anajisemea wewe jishaue tu, mimi Mangi ndo kiboko ya Anny utawakumbuka marehemu wenu wote kwa kazi nitayokupa.

TUTAENDELEA SAA 10 JIONI.
 
Nimemtengeneza kubwa la maadui kichwni kwngu.. hizo shoo za kibabe.. maneno yke.. Nerd jmn u take my breath away...!
 
Ushauri tu no free lunch popote dunia Lara we mchaga wa wapi wafanya kazi bure hata punda apata majani wewe unapata nini kutupa hadithi nzuri kama hizi embu fanya ivyi weka namba yeyote ile usajili Kama tigo Ana Mpesa mpaka hijae laki kamoja tu ndio episode nyingine itafata zaidi ya ivyo hapana bure tena maana naona jinsi gani wateseka usku na asubuhi kutupa hadithi nzuri bila malipo bhana hata bwana mungu hapendiiiiii
 
Nice story kubwa la maadui! naisoma huku na natabasamu maana najenga picha zangu kichwani !
 
Ushauri tu no free lunch popote dunia Lara we mchaga wa wapi wafanya kazi bure hata punda apata majani wewe unapata nini kutupa hadithi nzuri kama hizi embu fanya ivyi weka namba yeyote ile usajili Kama tigo Ana Mpesa mpaka hijae laki kamoja tu ndio episode nyingine itafata zaidi ya ivyo hapana bure tena maana naona jinsi gani wateseka usku na asubuhi kutupa hadithi nzuri bila malipo bhana hata bwana mungu hapendiiiiii
Jambo la maana hili, nimewaza hivyo pia!
 
Lara 1,huyo mchaga kapagawa na urembo wa mtoto wa kibondei network ikakata inanikumbuasha mbaliii sannnaa,nimekuvulia kofia Lara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom