Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 32,142
- 68,138
HahahahahahaaHahahaa binduki imejam katikati ya vita...sijawahi ona show ya kwanza kapaniki mpaka abdallah kazingua,huu ni uzembe uliotukuka...
cc GENTAMYCINE
HahahahahahaaHahahaa binduki imejam katikati ya vita...sijawahi ona show ya kwanza kapaniki mpaka abdallah kazingua,huu ni uzembe uliotukuka...
Hahahaa, kaniambukiza maneno ya kipopoma...Hahahahahahaa
cc GENTAMYCINE
Acha kabisa hiyo mambo!! Uneven elezea mwaka mzima ushakata tamaa sasa uniambiwa hiyo hapo kula....!!!Hahahaa binduki imejam katikati ya vita...sijawahi ona show ya kwanza kapaniki mpaka abdallah kazingua,huu ni uzembe uliotukuka...
Mangi anafanya sie wachaga tuone lane hovyo kabisa....Loo huyo mangi duuu anaaibisha aasee