RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 52,625
- 110,861
Impressive.....Nipo napikaaa! Mpaka nimedownload app ya Jf kuwapa utamu tuuu, kwenye hiki kimeo. Sijui mmeniweka msukule.
Impressive.....Nipo napikaaa! Mpaka nimedownload app ya Jf kuwapa utamu tuuu, kwenye hiki kimeo. Sijui mmeniweka msukule.
Uje na vocha hata ya buku mbili sio kujipangia muda wa kuburudika tu.Mimi nitaitafuta saa Nne na nusu.
Uje na vocha hata ya buku mbili sio kujipangia muda wa kuburudika tu.
Inatokeaga sana hio....Hitimisho: Huku na huku kajisahau, kamwaga kila kitu ndani...
Si ndo zenu nyie condom kuwabanaa, na kujitia Kaseja mabingwa wa kutoa mipira nje, kumbe kina messi mkipata chansi lazima cheke na nyavuuu. Hahahaaaa!
Hahahahahah...Mi mwenyewe hua zinanibana na nna nkivaaa nawashwa balaaa...Ila All in all hua ni mbinu ya kuuza mechi kwa mtu unaemuamini....Si ndo zenu nyie condom kuwabanaa, na kujitia Kaseja mabingwa wa kutoa mipira nje, kumbe kina messi mkipata chansi lazima cheke na nyavuuu. Hahahaaaa!
Hahahaa lol,anamshauri kabisa atafute hausgeli Hahahaahahahah anapika anamaanisha ndo anaandika hyo storii yenyewe haimanishi kwamba yuko kwa jiko anapika msosi
acha tu mamie hivi vimisemo vya jf usipovielewa ni shida atiHahahaa lol,anamshauri kabisa atafute hausgeli Hahahaa
Bora wewe team Mellisaa, naona watu wengi humu wadau wa mfumo dumeee, kidogo kidogo utakuta wanaume oote team KLM. Hahaaaa! Mangi mwenzangu hana mashabiki kabisaaa.asante sana lara kwa kweli niko kwenye ndoa najifunza mengi sana hapa ....dohh ndoa ya mama melisa inaumiza sana ....but hurreeeee
Team KLM ndo mpango mzima...mihogo na karanga wiki nzima afu anatoa point 3 za bure Mezani,how can a man give it up so easily??ht kujitutumua kufanya warm up,alambe lambe chiu,apime oil...kapewa ulimi na vidole vya nn ss??kaniuzi sana Mangi,angekua best angu lazma ningemlamba kibao cha uso azinduke...sio kwa uzembe huoBora wewe team Mellisaa, naona watu wengi humu wadau wa mfumo dumeee, kidogo kidogo utakuta wanaume oote team KLM. Hahaaaa! Mangi mwenzangu hana mashabiki kabisaaa.