Valentine special thread

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,887
Reaction score
13,644
Habar za muda huu ndugu wanajukwaa,naomba huu uwe ni uzi maalumu kwaajili ya ku-share mambo muhimu yanayohusu mahusiano na mambo mbalimbali yanayohusu valentine (ikiwa ni pamoja na historia ya valentine,walioachwa na kupata wapenzi siku ya valentine pamoja na picha au vibonzo vya valentine)

Pia,waweza ku-share nasi momenti unayoikumbuka kuhusiana na valentine...kama umewahi kuumizwa na mapenzi pia hapa ni mahali sahihi

Karibuni!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…